Salama jabir biography

          Salama jabir jamii forum.

          Salama jabir ana watoto wangapi

        1. Historia ya meena ally
        2. Salama jabir jamii forum
        3. Salama ngale age
        4. Mume wa salama jabir
        5. Salama Jabir

          Salama Zalhata Jabir (alizaliwa 1 Oktoba1984) ni mtangazaji wa vipindi vya televisheni kutoka Tanzania[1] — hasa katika televisheni ya Afrika Mashariki (EATV).[2]

          Maisha

          [hariri | hariri chanzo]

          Alizaliwa kwenye familia ya watototisa[3].

          Hapo awali, aliolewa na kuachwa,kisha alipata kuwa mtangazaji wa kipindi cha MkasiTv, kilichobuniwa na yeye na A.Y. Kipindi kilikuwa kinarushwa kupitia EATV — ambapo ndani yake wanahoji watu mbalimbali maarufu hadi hapo baadaye walipoamua kukiweka katika idhaa ya YouTube tarehe 1 Novemba 2011[4].

          Salama pia ni jaji katika mashindano ya kutafuta vipaji vya wanamuziki yaitwayo Bongo Star Search akionekana kuwa ni jaji asemaye ukweli kwa wanaosailiwa[5].

          Mafanikio

          [hariri | hariri chanzo]

          Salama Jabir amepata mafanikio yafuatayo katika tasnia ya utangazaji na uanzishaji wa vipindi vya televisheni kilichoongeza ubora wa muziki wa Bongo Flava kwa upande wa utayarishaji wa vide